* Wikiendi ndyo imefika watu wajipanga kuburudika, wiki nzima tulikuwa kwenye pilika na sasa muda muafaka umefika mimi nawe kufarijika kwa raha kujipa,usikose nyumbani kufika!
*Najua moyo wako unasita penzi lako kunipa, lakini nataka uelewe fika mimi kwako nimefika,haya si maneno yakusadikika bali ni yauhakika! Nakupenda na daima nitakuenzi!
Tags:
I MISS YOU