<> Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako. Lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu. Maana nitakupoteza kila muda nilipo.
=> Teke la kuku halimuumizi mwanaye, sawa na dhati ya Mapenzi haiumizi moyo wa ampendaye, tugombane sasa hivi tupatane baadaye, najua hakuna wasiogombana. Kama wapo siku wakigombana wataachana.