Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi wako



Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? 

Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenz

Post a Comment

Previous Post Next Post