Meseji Za kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

 


jumbe wa kutuma kwa mpenzi wako ajione mwenye thamani kubwa

Wewe ni mng’arao machoni mwangu;
Tabasamu la midomo yangu;
Furaha ya uso wangu;
Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyompenda

Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni
nasikia raha.
Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng'ombe
akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika
kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu
halitafutika kamwe.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe

sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumuonyesha mpenzi wako unavyompenda

natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala

Fikra hutawala mtima wangu,
Kwa madhila yalojaa duniani,
Kwa muhali wa yanayojiri,
Kwa machweo na mawio,
Kwa totoro ama nuruni,
Nao moyo hukosa ukamilifu,
Kwa utashi wa zake hisia,
Zinipazo sababu kuu,
Ya upendo juu yako,
Ya kukufanya daima uwe,
Mawazoni mwangu.
Mawazoni ama ndotoni,
Daima wewe hutawala,
Kila asubuhi niamkapo,
Nao usiku nilalapo,
U chakula changu akilini,
Nalo tulizo langu moyoni,
Daima huuwaza upekee,
Wewe uliojaaliwa,
Na hivyo naihisi furaha,
Daima wewe uwapo,
Mawazoni mwangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuriiii ya kumpa mtu hai

Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi.
HAIIIIIIIIIIIII!!!

🔥♥♥♥

Related imageT.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi

Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako
ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post