SMS ZA kimahaba kwa umpendaye sana


T.gifUjumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana

wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha
midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendelee
kupendana,wanafiki roho ziwaume!

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…

🔥♥♥♥


T.gifSMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano

macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kutakia usiku mwema

Usiku Ni "utulivu"
Usiku Ni "mzuri"
Usiku Ni"upole"
Usiku Ni "kimya"
Lakini Usiku
Haujakamilika
Bila..Kukutakia
Wewe..
U
S
I
K
U=m=w=e=m=a!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu

sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako

Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili
yangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi anavyokupagawisha

Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post