SMS nzuri Za ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako

 


T.gifMeseji ya usiku mwema kwa umpendaye

Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo
ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla
hjalala. g9t

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako

Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;
ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;
wangu una wewe tu!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi

Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,
ANAKUJALI na,
ANAKUTAKIA mafanikio mema

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye

Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo
mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,
kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema

Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.
Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.
Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.
Kitale katikati yake ukila utaridhika.
Matamu na maji yake hukata kiu haraka.
Weupe watui lake lina ladha ukipika.
Kupaka mafuta yake mwili hulainika.
Na kwenye machicha yake kazi nying hufanyika.
Hata na upepo wake uvumapo utacheka.
Sikijui kitu chake kipi kisichotumika.usiku mwema

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu

Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu
mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu
mwenye thamani kwangu katika hii dunia.

🔥♥♥♥


T.gifSMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako

Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu

Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji
na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke
kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post