Upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe . *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha. Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3jBBkg9