SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye

 


T.gifMeseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima

Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi
kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku

Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo
huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,
nakupenda mpenzi.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo

Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani,
Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu.
Ni zaidi ya roho iendayo safarini.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake

Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumuonyesha mpenzi wako unavyompenda

natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu

Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu
laazizi wangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye

»-——»>
Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.

🔥♥♥♥



T.gifSMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali

Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post