Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema


Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,

fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,

fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japok wa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema

Post a Comment

Previous Post Next Post