Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, ni huyo ni mimi mara zote nakujali.
Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi ninavyotamani kuwa nawe sasa.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/rNHSCD9
Tags:
MAHUSIANO