HomeMAHABA Meseji nzuri ya kumtumia umpendaye byADMIN •September 28, 2021 0 Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda! Tags: MAHABA Facebook Twitter