Majuto pekee niliyonayo ni kutokukufahamu tangu siku nayozaliwa kwani ningeliweza kuishi maisha yangu YOTE na wewe.
Nipe nafasi moyoni mwako na si akilini mwako, kwa maana akili husahau kwa urahisi, lakini moyo hukumbuka mara kwa mara. Nakupenda.
****
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/38sPJpV
Tags:
MAHUSIANO