Usiku huvutia kwa sms hizi

 Nakutumia kitanda changu ili upumzike, mito ili kukuliwaza na blanketi langu ili kukupa joto.Kwa sasa siwezi kulala kwa sababu tayari nimekwisha kupa vitu vyangu vyote. Usiku mwema! Nakupenda.

Wewe ni mng’arao machoni mwangu;
Tabasamu la midomo yangu;
Furaha ya uso wangu;
Kwa sababu bila wewe, mimi sijatimia.NICE 9T MY LOVE.





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3BuRgIh

Post a Comment

Previous Post Next Post