SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi


Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao


Post a Comment

Previous Post Next Post