“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu
nakusubiri daktari wangu.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/2YhTJHM
Tags:
MAHUSIANO