Mchana mwema.

  

  

Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako. Najuakuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa kukuonyesha kuwa yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali  .

Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu

                                                     




from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/32kbMPD

Post a Comment

Previous Post Next Post