Sms za mahaba..

Laiti moyo ungekuwa na kifuniko basi ningekuwa radhi kukwambia fungua uone unavyokereketa, lakini sivyo, nimebaki nauguza vidonda, nieleze ninene nini ujue nakupenda kijana mwenzio"""

Hakika moyo ukipenda inakuwa vigumu kuuzuia, kila nikuonapo rohoni naumia, mapigo ya moyo yanienda mbio, hutamani tuwe ulingoni, ujuzi tuoneshane pasipo na soni! Nakupenda mpenzi""
 





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3sv4dR8

Post a Comment

Previous Post Next Post