Mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale
unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu
wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia
na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo
,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza
furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3ountM6
Tags:
MAHUSIANO