Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli
usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyonimwangu nimeridhia. . . .nakupenda daima mpenzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi
kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3xZuKqC
Tags:
MAHUSIANO