Nilimwomba Mungu ua alinipa bustani.Niliomba mti akanipa msitu.Niliomba mto akanipa bahari.Niliomba rafiki akanipa wewe..
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3exq3ew
Kila Uhusiano ni mzuri lakini upendo wa kweli ndio mzuri zaidi kila Mwanga ni mzuri lakini Mwanga wa Jua ni bora zaidi Every frend is sweet but your sweetest..
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3exq3ew
Tags:
MAHUSIANO