Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.? Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua? ……………………
Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu” Mchana mwema Hny. …………………..
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3ogfimK
Tags:
MAHUSIANO