Je utanipenda.

Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota.





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3qtdPKU

Post a Comment

Previous Post Next Post