MANENO MATAMU YA KUMBEMBELEZA MPENZI WAKO.

                                 

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”



from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3Gyj29S

Post a Comment

Previous Post Next Post