Nimekukumbuka mpenzi sana.

 


Mtu wa kumkumbatia, mtu wa kumbusu, mtu wa kuzungumza naye, mtu wa kubembeleza.         Mtuwakunifanya nitabasamu, mtu wa kunichekesha, wa kupenda, wa kunifanya nijisikie vizuri.

        Ninapenda kukumbatia lakini sipendi kuachilia. Ninapenda kukusalimu lakini sipendi kusema                 kwaheri. Ninapenda kukutazama ukija kwangu lakini nachukia kukuona ukiondoka.                                 Ninakukosa rohoni.



from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/34OmMG6

Post a Comment

Previous Post Next Post