Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda

Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.

Natambua ugumu wa mapenzi Mengi ni matamu, mengine ni machachu Ila nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo.





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/SIV41cK

Post a Comment

Previous Post Next Post