♥ Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
*°· ♥ °·.°*
♥ USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/ek1ZLBI
Tags:
MAHUSIANO