Pendo lako ni sawa sawa Na dhahabu ya upendo pembezoni mwa bustani ya uaminifu, ujasiri Na uvumilivu katika maisha yeti ya kimapenzi.
Wivu moyoni mwangu unaunguluma, kwasababu uko mbali nahisi naibiwa , usipo pokea simu yangu nahisi kunajambazi.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/VsqFGZx
Tags:
MAHUSIANO