Raha Yangu nikufurah kama nilivozoea kufurahi nikiwa nawe
Najua hubadilika kwenye mapenzi lakn kwangu naomba isiwe hivyo maana nimefall in love kwako
Ni mwisho wa mwaka sitaman tutengane zaiiidi tupendane
Japo hauonyeshi kunipenda lakn ujue mm ni binadam na ninaumia kwa hiv vitu unavyonifanyia
Kuna mda sipati nguvu kwsabab yako
kuna mda sili chakula kwasababu yako
Kuna mda najiona niko mpweke mpaka nahisi kama vile dunia nzima imenitenga
Natamani unikumbuke Kama ninavyo kukumbuka Mimi
Natamani unijali Kama ninavyo kujali Mimi
Natamani unipende Kama ninavyo kupenda mimi
Kwasababu nakupenda Sana na siwezi kukusahau.
Wakati wote nitakupenda
Penzi lako nitakulindia
Kuwa nawe ninajivunia
Nakupenda My dear
0710518562 cm No
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/DtOX6dl
Tags:
MAHUSIANO