.
Gari la mapenzi limenisafirisha na kunitua kituo salama Kituo hicho ni kwako mpenzi
Kabla sijafika kwako nilitaman kufanya kitu kwaajili yako
Nilikuahidi ipo siku ntaifanya siku yako iwe yenye amani na furaha tele
Tena nilitaman ukiiona ufurahie sana Hata ikiwezekana upige vigelegele
Unajua nn kpnz me nakupenda sana ww ila najua kuna watu hawapendi tuwe pamoja nataman sana niwatoe viherehere
Natamani nikupe zawadi nzuri yenye kupendeza utakayoipenda zaiidi ya zote
Zawadi Ni ishara ya upendo ya upendo kwa yule nimpendae nami sina mwingine zaiidi yako
Naamini utaipokea na kuifurahia mbele yangu kwasabab si yamwingine hio ni yakwako
kama vitam basi litam penzi lako ,, sina cha kusema kwako ni raha...
Machoni mwangu wanivutia mashallah, nikiwa taaban we ndiyo kipepeo changu cha kunifariji
Nikiwa jotoni ewe ni kiubaridi changu cha friji
Sasa nitakupenda naahidi
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/ySIor9F
Tags:
MAHUSIANO