HomeMSAMAHA Nisamehe mpenzi wangu byADMIN •June 10, 2020 0 Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Tags: MSAMAHA Facebook Twitter