WAKATI WA UCHUMBA- NINI UNACHAPASWA KUFANYA?

👉👫 *Wakati wa uchumba ni muda husika wa kuongeza ufahamu wako kuhusu nafasi yako kwenye ndoa*

Uwe na ufahamu juu mambo yafuatayo
1.👉 Nini unachoenda kufanya kwenny ndoa/famiiia?
2. ðŸ‘‰Weww utakuwa nani kwenye ndoa/familia?
3.👉Majukumu yako yatakuwa ni yapi kwenye ndoa/familia?
4.👉Mipaka yako ni ipi kwwnye ndoa/familia?
👉👫 *Wakati wa uchumba ni muda sahihi wa kujua afya ya mchumba wako/kufahmiana afya zenu*
Upimaji wa afya zenu ni muhim sna wakati wa uchumba-
➡️wapo vijana walioa na magonjwa, walioathrika pengine huenda si kwa sababu ya zinaa. Wapo ambao wanayo magonjwa ya kuzaliwa/kurithi, na wengine wengine wamepata magonjwa kutokana na matumizi ya vifaa n.k.
👉Faida ya kujua afya zenu ni kujua kama kuna mmojawapo ataonekana ana tatizo itawasaidia kukubaliana ninyi wenyewe mjue mtafanyeje
👉👫 *Ni wakati wa kulinda kusudio la Mungu hadi litimie kwa kumlinda mchumba wako dhidi ya dhambi*
Pia elewa haya
👉siku zote unapoamua kuingia katika hatua ya uchumba lazima ugharimike katika mambo kadhaa
1. Muda
2. Maombi
3.Mawasiliano n.k
👇👇👇👇👇
👉Kumpata mchumba ambaye ni kusudio la Mungu usifikiri na kudhan ya kuwa ndio mmeumaliza mwendo. Tambua kuwa hapo ndipo sasa mtakapokutana na vita kubwa sana ili kutenganishwa hivyo lazima mjikite na mjifunze kuombeana ili kuimarisha mahusiano/uchumba wenu
👉Mwezi/Mchumba wako ni zawadi na agano toka kwa Mungu hivyo inakulazimu wewe kumlinda asiingie dhambini Na pia wewe usiwe sababu ya kumfanya kuingia katika vishawishi vya dhambi.

HIVYO JOTAHIDINI KULINDA WAZO LA MUNGU HADI HADI LILITIMIE KWENYE NDOA.
👫 *Wakati wa uchumba ni wa kupata na kuzingatia mafunzo na ushauri kwa ajili ya kujenga ndoa na familia baada ya kufunga pingu za maisha.*
*ELEWA ZAIDI KUWA* ðŸ‘«ðŸ’•
👉👉Uchumba unaweza kukunyima hata uhuru, kuongea na marafiki maana kuna wengine huwa hawataki/hawapendi kuona mchumba wake ananongea na watu wengine. Watu hawa Huwa wana wivu na wanaumia sana pale unapokuwa karibu nao hasa wa jinsia yake.
👉👉Wengine wamewekeana taratibu ngumu au masharti utafikri ni wanandoa kabisa. Ukweli na uwazi taratibu au masharti hayo huwa yanawatesa sana. Ila kwa kuwa hawataki kuwapoteza wachumba wao inawabidi wavumilie kwa maumivu na mateso makali. 
 *EPUKA UCHUMBA WA MASHARTI.* 
Image may contain: 8 people, indoor
Image may contain: 1 person, standing

Post a Comment

Previous Post Next Post