SMS nzuri sana za Kimahaba

 


T.gifSMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako

Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;
ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;
wangu una wewe tu!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

[[=]]
"""""Yule"""""
Anipendezae lazima nimkumbuke""
""nimpe salamu ""moyo""
wangu ""uridhike""
""Nimuombee kwa
MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""
""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"
""nakutakia''"
"ucku mwema"
[[/=]]

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako

Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu
usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,
lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia umpendaye akijisikia upweke akukumbuke wewe kwani upo kwa ajili yake

Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha
hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji
kuishi nikumbuke mimi.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana

wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha
midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendelee
kupendana,wanafiki roho ziwaume!

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri sana ya Kimahaba

Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakini
tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post