Usiku mwema my love.

"Matumaini yangu kwetu ni kwamba hatupaswi kamwe kutengana na kwamba upendo wetu unaendelea kusitawi hadi mwisho wa wakati wetu. Usiku mwema."

“Mto wangu umekuwa mwenzi wangu kwa usiku kucha, kwa kuwa hauko hapa kunionyesha hisia zako ninatuma zangu kupitia ujumbe. Nakupenda. Usiku mwema."

 “Watu wengi wamekuja maishani mwangu, wengine wakiwa na nia njema na wengine kwa nia mbaya. Lakini hakuna aliyewahi kunipa kiasi hiki cha Furaha. Nimefurahi kuwa na wewe. Usiku mwema."







from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/2ZlYvVN

Post a Comment

Previous Post Next Post