pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la
mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili
chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu
nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi
letu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3do1Vuu
Tags:
MAHUSIANO