Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema mpenzi.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/31Em5gV
Tags:
MAHUSIANO