Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3E7iZzQ
Tags:
MAHUSIANO