sms za birthday

 Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,
hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,
 hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
 zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
 Happy Birthday mpenzi.
 







from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3r1Tdd5

Post a Comment

Previous Post Next Post