SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA.

Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu!

 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Maneno million  haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.

*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
















from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3fXxVHe

Post a Comment

Previous Post Next Post