Meseji za Tamu.

Niliulizwa juu ya kanuni ya ‘Nyutoni’ na nikasema kuwa sijui. Nikaulizwa ni nani Rais wa sasa wa Marekani lakini sikuwa na uhakika kama ni Clinton au Obama

Lakini nilipoulizwa kuwa ni nani ninayempenda, jibu pekee nililolifikiria ni wewe.

***

 Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.








from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/uUy87CR

Post a Comment

Previous Post Next Post