Natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear.
Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia!
Nakupend laaziz
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/flVm359
Tags:
MAHUSIANO