xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Siku moja atakuja kukumbuka your darling. Japo ametembea na wengi ila wewe mumetokea mbali. Atakumbuka jinsi ulivyokua unamtunza na kumjali. Ulivyo mthamini kwa kila hali. Mukidekezana na kucheza michezo mbax2 Mwanzo alikuona chumvi ila sasa atakuona asali. Jinsi penzi lilivyo noga mithili ya ndimu na kachumbali. ata kupata wapi sasa wakati kila mtu yuko mbali.
Muda mwingi atakumbuka mazuri yako. Wewe ndie uliekua unampenda na hakuna mwengine zaidi yako. Wengi ni over type ila wewe ndie saizi yako. Ndio! Si ndo aliekutoa BIKRA yako. Wewe ndie uliekua unamshauri na kumpa mmoyo mpenzi wako. Unamjua akiwa na furaha, akiwa na hasira hata hata akiwa na uzuni kipenzi chako ,Atakumbuka mara ya kwanza mulivyo kula kiapo. Ndipo atakutafuta na kukuomba msamaha hapohapo. Nawe utamkubalia mutarudi tena upya kama mwanzo.
"SEMA amen kwa EX-WAKO"
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/VOBZMYm
Tags:
MAHUSIANO