I miss you.

Nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz

       ●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥

Utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani





   



from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/32vLGcw

Post a Comment

Previous Post Next Post