Wewe ndio roho yangu uliye shikilia maisha yangu.

Msesage nzuri nakuandikia kwakuwa nyimbo nzuri siwezi kukuimbia, maneno ninayokuandikia nataka moyoni yakuingie, nakupenda ewe wangu waridi uliyenitoa kwenye ulimwengu wa baridi! Mmmmh mwaah

 Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3sy8nHX

Post a Comment

Previous Post Next Post