Ijue tofauti kati ya UPENDO WA MWANAUME NA MWANAMKE;



 Mwanaume akimpenda Mwanamke anamuweka akilini, yaani kama kuna VIONJO VIPO KI PEKEE atadumu nawe akilini mwake😂 na wenye BAHATI wao mpaka moyoni huzama hao ndo humfanya Mwanaume hata KUJIUA kulikosa penzi la Mwanamke aliyempenda.
 Mwanamke akimpenda Mwanaume ANAMUWEKA MOYONI wala hapatakuwepo na Mwanaume mwingine ataweza kukuondoa hata awe na NGUVU GANI kwa hakika hataweza kumuingiza MOYONI ila ataweza kumuingiza akilini kwa SABABU ZA KI MAISHA.
Mpaka hapo ushajua kwanini MAPENZI YANA RUN DUNIA🌎
Kila MBABE NA MBABE WAKE ðŸ˜‚ ila ukiona wewe unaonewa na Mtu umpendaye ujue kuna mahala nae ni FALA TU ðŸ¤£ðŸ¤£ anapelekeshwa mpaka mwishooo, Ndo maana halisi ya UPENDO ðŸ’ž UPOFU🤔
Mheshimu akupaye AMANI YA MOYO ðŸ’– vinginevyo utajitafutia MARADHI BURE ðŸ¤¦‍♂️
Maana UTULIVU WA NAFSI UNATOKANA NA HITAJI LAKE kinyume chake utalazimisha kusahau kisichosahaulika mwisho kabisa UFE UNAJIONA ðŸ˜­ðŸ˜­
utamuzaidiapp

Post a Comment

Previous Post Next Post