OMBA RADHI KWA MPENZI WAKO NA SMS HIZI


Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi.
  • ·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana….mwaaaaaaaa…


from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/32qYBMG

Post a Comment

Previous Post Next Post