SMS TAMU ZA USIKU MWEMA.

                           

 Najua kazi za kutwa nzima leo zitakuwa zimekuchosha sana mpenzi wangu,pumzisha akili yako na mwili wako kwa ajili ya kufanya kazi tena kesho.pole sana dear!nakutakia usiku mwema

 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Akili yako imechoka,hata mwili wako pia!huu ni wakati wako wa kupumzika mpenzi,nakutakia usiku mwema,lkn uache moyo wako uwe macho kwa kuwa yupo anayekupenda kwa dhati! Nakupenda sana mpenzi wangu,pokea busu mwanana . . .mwaaaaaa . . . . .

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•





 



from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3ecjdLw

Post a Comment

Previous Post Next Post