SMS TAMU ZA KUMTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WAKO.

 



Najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET.    

**********

Mapenzi ni kama mti uchanuapo ukinyeshewa mvua hunawili yanapo lelewa na utoa matunda pindi yanapo thaminiwa gharama ya tunda litokalo mtini hapo utegemeana na ubora wake nasi tulifanye penzi letu liwe bora na lenye kuthaminiwa..

*****************



from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3EhB5ir

Post a Comment

Previous Post Next Post