Mpenzi, tafadhali ukubali msamaha wangu kutoka moyoni. Kwangu, wewe ni kila kitu. Siwezi kuwazia maisha bila wewe kando yangu. Tafadhali ukubali msamaha wangu na urudi kwenye maisha yangu.
Mimi bado ni mtu yule yule unayempenda sana. Sijabadilika kwa njia yoyote. Ni makosa tu yaliyotokea bila nia yangu. Nakupenda, mpenzi. Samahani.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/QKvLtEI
Tags:
MAHUSIANO